May 16, 2017

"Waziri liangalie hili ili hata vilaza wenzangu wakasome" – Mbunge Agnes Marwa

>centercenter<

Fahamu Faida 10 za Kufanya Mapenzi Kipindi cha Ujauzito

>centercenter<

KWA HALI HII HATA KAMA MUNGU KASEMA UNAACHA HAKIKA ANGALIA VIDEO HII

>centercenter<

UCHAWI : JIONEE MCHEZAJI HUYU AKITOA HIRIZI GOLINI

>centercenter<

MATANI YANGA NA SIMBA, UTACHEKA SANA MAU ALICHOFANYA

>centercenter<

Bwakila wa Mkude Simba kuhusu Simba na Yanga na mjomba wake Stan Bakola

>centercenter<

Manchester City vs West Brom 3-1 May 16th 2017 All Goals and Highlights

>centercenter<

Arsenal vs Sunderland 2-0 May 16th 2017 All Goals and Highlights!

>centercecenter<

Nitawashangaa sana Wabunge wakiendeleza ushabiki" - Mbunge Mchengerwa

>centercenter<

Tazama full video miss UDOM 2017 hii hapa

>centercenter<

mis UDOM kapatikana tazama hapa 2017

>centercenter<

Rais Magufuli ameivunja rasmi mamlaka ya ustawishaji makao makuu Dodoma(CDA)

Leo May 15, 2017 Rais Magufuli ameivunja rasmi Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) na kuagiza mali na shughuli zote zilizokuwa zikifanywa na CDA zihamishiwe Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma.
Rais ameivunja CDA kwa kutia saini hati ya Amri ya Rais ya kuivunja Mamlaka hiyo Ikulu Dar es Salaam, tukio ambalo limeshuhudiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Majaliwa, Waziri wa Ardhi William Lukuvi.
Wengine ni Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Antony Mavunde, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana na viongozi mbalimbali wa wizara.
Rais Magufuli amesema ameamua kuivunja CDA na kuhamishia majukumu yake katika Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma ili kuondoa mgongano wa utoaji wa huduma uliokuwa ukisababishwa na vyombo hivyo viwili na pia kuendana na mahitaji ya sasa ambayo yamedhihirisha kuwa hakuna haja ya kuwepo kwa CDA.
Kufuatia uamuzi huo Magufuli pia ameivunja Bodi ya CDA, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CDA Eng. Paskasi Muragili atapangiwa kazi nyingine na ameagiza wafanyakazi wote wa Mamlaka hiyo wahamishiwe Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma na ofisi nyingine za Serikali kadiri inavyofaa.
               
VIDEO: Katika hili lazima nimshukuru Rais Magufuli’ – Maftaha Nachuma. Tazama hapa chini

best music chinese Endlesslove see here